MWALE WA KUMI NA MOJA-

Tunda kati ya matunda ya gereza la Denizli

Risala hii: Ulinzi wa imani unaofanywa na Risale-i Nur ili kuwazuia wazandiki na ukafiri kabisa, hatuna utetezi wa kihakika kuhusu kadhia yetu – katika jela yetu hii – isipokuwa utetezi huu, na sisi hatufanyi jitihada isipokuwa kwa ajili ya imani.

Na hili ni wazo la tunda lilizaliwa na jela ya (Denizli) katika siku mbili miongoni mwa siku za Ijumaa Mubarak.

Said Nursi

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published.