Risala Ya Tunda

بِسْمِ اللهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيْمِ

فَلَبِثَ فِي السِّجْنِ بِضْعَ سِنِينَ Qur’an, 12:42.

Tunafahamu kutokana na siri za aya hii tukufu kwamba Yusuf (a.s) ni kigezo cha wafungwa na kiongozo wao. Kwa hiyo jela inakuwa ni aina katika aina za (Madrasa ya Yusuf). Na kwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi wa nuru wameingia mara mbili katika madrasa hii, kwa hiyo wanapaswa kusoma baina yao na kusomesha sehemu ya katika muhtasari wa masuala ya kiimani ambayo Risale-i Nur imeyathibitisha na yana uhusiano na jela ili kupata mwongozo kwayo, kwa ajili ya kuzinyoosha tabia na maadili mema katika Madrasa hii iliyofunguliwa kwa ajili ya kupokea malezi. Ndiyo hapa sisi tunabainisha sehemu kati ya mihutasari hiyo.

Said NursiYou May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published.